Перейти к содержимому

#ONK-033; Kanuni za kujenga utajiri kutoka kitabu THE SCIENCE OF GETTING RICH.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD. CFE.

0:00 / 0:00

#ONK-033; Kanuni za kujenga utajiri kutoka kitabu THE SCIENCE OF GETTING RICH.

520 просмотров · 2 г. назад
Kocha Dr. Makirita Amani, MD. CFE.
6,7 тыс. подписчиков
520 просмотров · 2 г. назад
Kujenga utajiri ni sayansi ambayo ina kanuni zake. Pale kanuni hizo zinapofuatwa, matokeo hupatikana kwa uhakika. Kwenye kitabu cha THE SCIENCE OF GETTING RICH, kanuni kuu ya kujenga utajiri ambayo ni NAMNA YA KUFIKIRI na NAMNA YA KUTENDA imefundishwa kwa kina. Karibu usikilize kipindi hiki cha ONGEA NA KOCHA uweze kujifunza na kuchukua hatua.