Jay Moe katika historia ya Bongo Hip Hop, mabadiliko ya mchezo na mtazamo wa Rap ya leo
Dozen Selection
0:00 / 0:00
Jay Moe katika historia ya Bongo Hip Hop, mabadiliko ya mchezo na mtazamo wa Rap ya leo
70 787 просмотров · 1 месяц назад
Dozen Selection
261 тыс. подписчиков
70 787 просмотров · 1 месяц назад
DESCRIPTION: Katika episode hii maalum, tumeketi na mmoja wa nguzo za Bongo Hip Hop, Jay Moe. Tumepiga stori za kina kuhusu safari yake ya muziki, changamoto alizopitia, mafanikio, urithi anaouacha kwenye hip hop ya Tanzania, pamoja na maoni yake kuhusu kizazi cha sasa cha wasanii.
Pia amezungumzia kazi zake, mchakato wa kuandika mistari (bars), na mambo ambayo wengi hawajawahi kuyasikia kutoka kwake.
Kama wewe ni mpenzi wa Bongo Hip Hop na unapenda mazungumzo yenye maarifa na burudani, basi hii ni episode ambayo hutaki kuikosa.
Tazama hadi mwisho, kisha tuambie kwenye comments:
👉 Ni jibu gani la Jay Moe limekuvutia zaidi?
👉 Ni wimbo gani wa Jay Moe unaoupenda zaidi?
FOLLOW US ON - INSTAGRAM
TWITTER
TIK TOK
@DOZENSELECTION