MH.MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO ASHIRIKI HARAMBEE KKKT USHARIKA WA KOMAKUNDI NA KUPATA MILIONI 148
TANZANIA RISING MEDIA
0:00 / 0:00
MH.MBUNGE WA JIMBO LA VUNJO ASHIRIKI HARAMBEE KKKT USHARIKA WA KOMAKUNDI NA KUPATA MILIONI 148
655 просмотров · 1 мес. назад
TANZANIA RISING MEDIA
102 подписчика
655 просмотров · 1 мес. назад
harambee hii iliyofanyika leo tarehe 6 mwezi wa 9 mwaka 2026 katika usharika wa komakundi harambee hii mgeni rasmi ni mheshimiwa mbunge wa jimbo la vunjo ENOCK ZADOCK KOOLA na katika harambee hiyo kumepatikana fedha kiasi cha shilingi milioni 148