Перейти к содержимому

🔴#LIVE || WIN THE MORNING IBADA YA KWANZA || 20 OCT 2026

TAG CCC Dodoma

0:00 / 0:00

🔴#LIVE || WIN THE MORNING IBADA YA KWANZA || 20 OCT 2026

79 просмотров · Трансляция закончилась 3 дня назад
TAG CCC Dodoma
737 подписчиков
79 просмотров · Трансляция закончилась 3 дня назад
BWANA YESU ASIFIWE!! Miaka 13 ya Moto wa Uamsho!! Tunamtukuza MUNGU sana kwa ajili yako wewe uliye jiunga nasi katika Ibada hii. Mungu Akubariki Sana, Kwa Maombi au Msaada zaidi unaweza kuwasiliana nasi Kupitia 0655 578 887. Karibu sana TAG CCC Ratiba zetu ni kama ifuatavyo:- 🔴🔴 JUMATATU 🔴🔴 🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanawake (WWK) 🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanaume (CMF) 🟢Saa 12:00 - 01:30 Usiku Vijana (CA's) 🔴🔴 JUMATANO🔴🔴 (Bible Marathon) 🟢Ibada Saa 10:30 -12:00 Jioni 🔴🔴 IJUMAA 🔴🔴 (Makanisa Ya Nyumbani) 🔴🔴 JUMAPILI 🔴🔴 🟢Saa 12:00 - 1:30 Asubuhi - lbada ya Kwanza, International Service 🟢Saa 1:30 - 4:30 Asubuhi - Ibada ya pili, Main Service 🟢Saa 4:30 - 7:30 Mchana - Ibada ya tatu. Vibe Service 2026 MWAKA WA KUZIDISHWA, YEREMIA 30:19 #winthemorning #morningprayer #prayeraltar #dodomajiji #worship #baraka #maombiyaasubuhi