🔴#LIVE || WIN THE MORNING IBADA YA KWANZA || 19 OCT 2026
TAG CCC Dodoma
0:00 / 0:00
🔴#LIVE || WIN THE MORNING IBADA YA KWANZA || 19 OCT 2026
51 просмотр · Трансляция закончилась 4 дня назад
TAG CCC Dodoma
737 подписчиков
51 просмотр · Трансляция закончилась 4 дня назад
BWANA YESU ASIFIWE!!
Miaka 13 ya Moto wa Uamsho!!
Tunamtukuza MUNGU sana kwa ajili yako wewe uliye
jiunga nasi katika Ibada hii. Mungu Akubariki Sana,
Kwa Maombi au Msaada zaidi unaweza kuwasiliana
nasi Kupitia 0655 578 887.
Karibu sana TAG CCC Ratiba zetu ni kama ifuatavyo:-
🔴🔴 JUMATATU 🔴🔴
🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanawake (WWK)
🟢Saa 11:00 - 12:00 Wanaume (CMF)
🟢Saa 12:00 - 01:30 Usiku Vijana (CA's)
🔴🔴 JUMATANO🔴🔴
(Bible Marathon)
🟢Ibada Saa 10:30 -12:00 Jioni
🔴🔴 IJUMAA 🔴🔴
(Makanisa Ya Nyumbani)
🔴🔴 JUMAPILI 🔴🔴
🟢Saa 12:00 - 1:30 Asubuhi - lbada ya Kwanza, International Service
🟢Saa 1:30 - 4:30 Asubuhi - Ibada ya pili, Main Service
🟢Saa 4:30 - 7:30 Mchana - Ibada ya tatu. Vibe Service
2026 MWAKA WA KUZIDISHWA, YEREMIA 30:19
#winthemorning #morningprayer #prayeraltar #dodomajiji #worship #baraka #maombiyaasubuhi