KWANINI MANENO NA MATENDO YAKO YANAPINGANA?
Lux Fidei
0:00 / 0:00
KWANINI MANENO NA MATENDO YAKO YANAPINGANA?
990 просмотров · 2 недели назад
Lux Fidei
1,15 тыс. подписчиков
990 просмотров · 2 недели назад
Wapendwa Ujumbe mkuu wa Dominika ya 26 Mwaka A wa Kanisa (Injili ya Mathayo 21:28-32 kuhusu Mfano wa Wana Wawili) unajikita katika vitendo badala ya maneno matupu, toba ya kweli, na utii kwa Mungu.
Pd. Benjamin Maganga Bundala anatupa Tafakari ya kina kuhusu Uamuzi na uchaguzi wetu katika maisha mintaarafu maneno na matendo yetu vinahusiana?
Karibu sana Katika Tafakari Dominika hii ya 26 Mwaka A wa kanisa.
Ukristo wa kweli si maneno matamu ya 'Nasadiki', bali ni utii wa vitendo katika shamba la Bwana. Heri yule anayesema 'siendi' lakini akatubu na kwenda. #fr.benjaminmagangabundala.
#Luxfidei #MwangawaImani