KWANINI YESU ALIWACHAGUA MITUME 12?
Lux Fidei
0:00 / 0:00
KWANINI YESU ALIWACHAGUA MITUME 12?
462 просмотра · 3 месяца назад
Lux Fidei
1,15 тыс. подписчиков
462 просмотра · 3 месяца назад
Wapendwa Dominika ya 11 Mwaka "A" wa kanisa, Padre Benjamin Maganga Bundala anatafakari ujumbe wa Mungu:
Mara nyingi tunafikiri Mungu anachagua watu wakamilifu. Lakini Injili inaonyesha kinyume chake: Yesu anachukua wavuvi, mtoza ushuru, wenye mapungufu na historia tofauti, kisha anawatumia kubadilisha dunia. Tatizo si udhaifu wetu; tatizo ni kutokumruhusu Kristo atutumie. Mungu hafanyi kazi kwa watu wakamilifu, bali kwa watu wanaopatikana na wanaokuwa Tayari kuitikia Wito wake kwaaajili ya Kondoo wake
#Luxfidei #MwangawaImani