Askofu Gwajima: Tunahitaji Rais Mwenye Maono I Katiba Inaturuhusu I Kuna Siku Tutapata Rais Waajabu
CLOUDSMEDIA
0:00 / 0:00
Askofu Gwajima: Tunahitaji Rais Mwenye Maono I Katiba Inaturuhusu I Kuna Siku Tutapata Rais Waajabu
2 658 просмотров · 4 года назад
CLOUDSMEDIA
1,56 млн подписчиков
2 658 просмотров · 4 года назад
“Katiba yetu inaruhusu kwamba Serikali inaweza kuleta mpango wa muda merefu wa namna ambavyo Tanzania iwe ya miaka 50 au 80 ijayo. ili kila utawala unaongia madarakani ufuate maono ya nchi, ambayo nchi imejipangia.” Mhe. Askofu Josephat Gwajima Mbunge wa Kawe amechangia mchango wake katika Bajeti ya Waziri Mkuu Makadirio ya mapato na matumizi 2022/2023.
Mhe. Askofu Gwajima ameendelea kusema nchi ya Tanzania inahitaji dira ya muda mrefu, kwa sababu kama hakutokuwa na mpango wa maenedeleo kasi yetu haitaendelea kama inavyotakiwa.
#KutokaBungeni
#CloudsDigitalUpdates