Перейти к содержимому

Vita magonjwa yasiyo ambukiza yaiva

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Vita magonjwa yasiyo ambukiza yaiva

164 просмотра · 2 дня назад
UTV Tanzania
182 тыс. подписчиков
164 просмотра · 2 дня назад
Idadi ya vifo vinavyotokana na magonjwa yasiyo ambukiza imekuwa kubwa hali inayopelekea kuwepo kwa mkakati maalumu ambao utapunguza idadi hii ya vifo. Mratibu wa Tiba na Magonjwa Yasiyoambukiza Kinondoni, Dkt. Omary Mwangaza amesema kuwa 74% ya vifo vimesababishwa na magonjwa yasiyo ambukiza. Hivyo ameeleza kuwa ufuatiliaji katika huduma umeongezeka ili kuhakikisha idadi hiyo haiwezi kuongezeka zaidi.