Mwaka Wa Njaa Na Mbaraka Mwinshehe - 1974
Simply Ami
0:00 / 0:00
Mwaka Wa Njaa Na Mbaraka Mwinshehe - 1974
16 646 просмотров · 3 дн. назад
Simply Ami
655 подписчиков
16 646 просмотров · 3 дн. назад
Mwaka wa 1974 ulikuwa mwaka mgumu sana kwa watanzania. Kipindi hicho, mvua hazikunyesha, biashara zilikuwa hazifanyiki na watu wa mjini ndio waliopata shida sana.
Iliilazimu serikali kuagiza mahindi ya njano kutoka Ujerumani ili kustahimili njaa hiyo kali. Ilibidi watu wapange mstari kutafuta sukari, na mahitaji mengine.
Je, unadhani tatizo hili liliathiri vipi maendeleo ya Tanzania. Acha comment hapo chini.
#tanzania #bongoflava #bongomovie #mwinshehe #oldisgoldsongs #africanmovies #aivideo