Перейти к содержимому

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.09.2026 | Mchana| Swahili Habari leo | Podcast

DW Kiswahili

0:00 / 0:00

DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.09.2026 | Mchana| Swahili Habari leo | Podcast

10 201 просмотр · Трансляция закончилась 1 день назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
10 201 просмотр · Трансляция закончилась 1 день назад
Mchana wa leo utasikia yafuatayo +++Mapigano kaskazini mwa Ethiopia yameingia siku ya saba, huku jeshi la serikali likiripotiwa kuutwaa mji muhimu wa Alamata katika jimbo la Tigray +++Marekani na Iran zinabadilishana ujumbe kupitia wapatanishi kuhusu kufunguliwa tena kwa Mlango Bahari wa Hormuz na kusitisha vita +++UN yasema wakimbizi milioni 8.3 na watu wengine waliolazimika kuyahama makazi yao wanakabiliwa na kitisho cha kutopata misaada muhimu #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.