DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
DW Kiswahili
0:00 / 0:00
DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.09.2026 | Jioni | Swahili Habari leo | Podcast
6 827 просмотров · Трансляция закончилась 7 часов назад
DW Kiswahili
336 тыс. подписчиков
6 827 просмотров · Трансляция закончилась 7 часов назад
Miongoni mwa tuliyokuandalia
#Maelfu ya abiria Tanzania wamekwama baada ya madereva wa mabasi ya abiria kugoma wakidai unyanyasaji unaofanywa na askari wa usalama barabarani
#NATO imekataa kabisa onyo la Urusi lililodai kuwa kuna hatari ya kuongezeka kwa mvutano wa kijeshi katika eneo la Kaliningrad
#Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Yemen, Hans Grundberg, amekutana na wawakilishi wa waasi wa Kihouthi katika juhudi za kuzuia mapigano yasienee zaidi
#dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.