IBADA YA KUMTUMIKIA MUNGU NI KUMKARIBISHA MALANGONI PAKO | SUNDAY SERVICE
UWEZA WA BWANA
0:00 / 0:00
IBADA YA KUMTUMIKIA MUNGU NI KUMKARIBISHA MALANGONI PAKO | SUNDAY SERVICE
233 просмотра · 1 мес. назад
UWEZA WA BWANA
1,73 тыс. подписчиков
233 просмотра · 1 мес. назад
Karibu katika Channel rasmi ya UWEZA WA BWANA chini ya Huduma ya Askofu wa Makanisa yote ya Uweza wa Bwana Tanzania na Nabii AMOS MAPIGANO.
Hapa utapata:
✝️ Mahubiri
✝️Maombi ya nguvu na ukombozi
✝️ Ibada ya uponyaji na miujiza
✝️ Mafundisho ya Biblia
✝️ Ushuhuda wa matendo makuu ya Mungu
✝️ Vipindi vya kiroho vinavyokujenga katika imani
Lengo letu ni kueneza Injili ya Yesu Kristo, kuwafikia watu wenye uhitaji wa Mungu, na kuwaimarisha katika imani, tumaini na maisha ya ushindi.
Kama umebarikiwa na video hii, usisahau kulike, kushare na ndugu/ marafiki, kusubscribe ili usipitwe na vipindi vyetu vijavyo. Mungu akubariki sana.
#uwezawabwana #AmosMapigano #Maombi #Mahubiri #YesuKristo #Injili #Uponyaji #Ukombozi #Mafundisho #NenolaMungu