Перейти к содержимому

Maarifa hayapimwi kwa muonekano wa mtu

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

Maarifa hayapimwi kwa muonekano wa mtu

405 просмотров · 2 дня назад
UTV Tanzania
181 тыс. подписчиков
405 просмотров · 2 дня назад
Baadhi ya watu huwachukulia watu wenye ulemavu kama kundi tegemezi linalohitaji msaada mkubwa ili kufanikisha shughuli zao za kila siku. Mtaalamu wa Saikolojia, Hillarius Mutegeki amesema jamii inapaswa kuacha kumtathmini mtu kwa kuangalia muonekano wake, badala yake izingatie uwezo, maarifa na kazi anazozifanya. Amesema hali hiyo imekuwa ikijitokeza pia katika biashara, ambapo baadhi ya watu hununua bidhaa zinazotengenezwa na watu wenye ulemavu kwa dhana ya kuwasaidia, badala ya kuangalia ubora wa bidhaa, ujuzi na uwezo wa mfanyabiashara.