Перейти к содержимому

YESU KRISTU NI MFALME - KWAYA YA MARIA GORETH HANANASIF | TAMASHA LA KRISTU MFALME 2019

Jugo Media Network

0:00 / 0:00

YESU KRISTU NI MFALME - KWAYA YA MARIA GORETH HANANASIF | TAMASHA LA KRISTU MFALME 2019

7 911 просмотров · 6 л. назад
Jugo Media Network
217 тыс. подписчиков
7 911 просмотров · 6 л. назад
Karibuni wapenzi watazamani wa JUGO MEDIA Kama kawaida leo tena tunawaletea perfomance mbalimbali zilizofanyika katika TAMASHA LA YESU KRISTU MFALME MAGOMENI. Tamasha hili hufanyika kila mwaka katika Dominika ya 34 ya Mwaka yaani Dominika ya Kristu Mfalme. Tamasha hili kwa mwaka 2019 limefanyika tarehe 24 mwezi november 2019 katika Viwanja vya parokia ya Watakatifu Mashahidi wa Uganda Magomeni. Tamasha hili limehusisha kwaya mbalimbali za parokia hiyo na kwaya zingine rafiki. orodha ya kwaya zilizoshiriki ni kama ifuatavyo TAMASHA LA UIMBAJI 'YESU KRISTO MFALME' WAANDAAJI KWAYA YA MTAKATIFU ANTHONY WA PADUA - MAGOMENI 1. MOYO MT. YESU (Vipapa - Magomeni) 2. Mt. Vicent Wa Paulo Kibamba 3. Wat. Mashahidi Wa Uganda (WAMAU) Magomeni 4. Mt. Maria Goreth Hananasif 5. Bikira Maria Consolata Kawe 6. Bikira Maria Consolata Ubingo Msewe 7. Mt. Anthony Wa Padua Magomeni 8. Mt. Catarina Wa Siena Kawe