HADITHI: Akili na marafiki wanajifunza michezo | Jifunze Kiingereza | Katuni za Elimu kwa Watoto
Akili and Me - Kiswahili
0:00 / 0:00
HADITHI: Akili na marafiki wanajifunza michezo | Jifunze Kiingereza | Katuni za Elimu kwa Watoto
64 452 просмотра · 5 лет назад
Akili and Me - Kiswahili
724 тыс. подписчиков
64 452 просмотра · 5 лет назад
Kwa kutumia vitu vinavyowazunguka, Akili na rafiki zake wanajifunza kucheza na kujifunza. Kuangalia video zaidi za hadithi za akili na marafiki, bonyeza hapa: • HADITHI: Akili na rafiki zake Mjini | Jifu...
Karibuni Lala Land, ulimwengu wa maajabu ambapo watoto wa miaka 3-6 watafurahia kuungana na Akili! Watajifunza namba, herufi, kuchora na Kiingereza!
Subscribe kwenye channel hii kupata video bure za kujifurahisha kila wiki kutoka kwa Akili and Me! Edutainment iliyotengenezwa Afrika, kwa Afrika. https://www.youtube.com/c/AkiliKiswah...
Angalia "Akili and Me": https://www.ubongo.org/shows/showtimes/
http://www.akiliandme.com
/ akiliandme
Akili and Me ni kipindi cha elimu burudani kinachotengenezwa na Ubongo Media.
https://www.ubongo.org
Imewezeshwa na Human Development Innovation Fund, funded by UKAid.
#SwahiliAlphabet #Elimu #AkiliandMe