Mama Mawigi: Mama wa miaka 65 aliyejikita katika sanaa ya vichekesho Tanzania
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Mama Mawigi: Mama wa miaka 65 aliyejikita katika sanaa ya vichekesho Tanzania
14 764 просмотра · 1 год назад
BBC News Swahili
1,01 млн подписчиков
14 764 просмотра · 1 год назад
Conchester Kokuongeza Ishengili maarufu kama mama mawigi, ni mama wa miaka 65 ambaye amepata umaarufu katika mitandao ya kijamii kutokana na uchekeshaji wake akiigiza taswira ya kabila la kihaya .
Alianza sanaa hii baada ya kushawishiwa na mtoto wake Coy Mzungu
Je ilikuwa rahisi kiasi gani kwake kuanzia sanaa ya vichekesho akiwa mtu mzima?
Regina Mziwanda anazungumza naye mubashara muda mfupi kutoka sasa kupitia ukurasa wa Facebook/Instagram/Youtube-BBC Swahili