Перейти к содержимому

Balaa! MNYUKANO WA HOJA DKT KITIMA,MWABUKUSI NA ULIMWENGU | SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI

VOT MEDIA

0:00 / 0:00

Balaa! MNYUKANO WA HOJA DKT KITIMA,MWABUKUSI NA ULIMWENGU | SIKU YA DEMOKRASIA DUNIANI

94 просмотра · 2 дня назад
VOT MEDIA
116 тыс. подписчиков
94 просмотра · 2 дня назад
Mjadala mkali na majibizano yamezuka kati ya mwanahabari mkongwe Jenerali Ulimwengu, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima, na mwanahabari Charles William kuhusu takwimu za uchaguzi, viti maalum vya ubunge, na uhalali wa taarifa za matokeo nchini. Majibizano hayo yametokea leo, Septemba 15, 2026, mkoani Dar es Salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). ambapo pia Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) alikua ni miongoni mwa wazungumzaji kwenye maadhimisho ya Siku ya Demokrasia Duniani yaliyoratibiwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Nini maoni yako? Credit #jambotv #votupdates #tumechangamka