Перейти к содержимому

"MIMI SIO MWANAMKE WALA MWANAUME | SINA JINSIA" Mgombea UWT Afunguka Kwenye Clouds 360

CLOUDSMEDIA

0:00 / 0:00

"MIMI SIO MWANAMKE WALA MWANAUME | SINA JINSIA" Mgombea UWT Afunguka Kwenye Clouds 360

774 672 просмотра · 6 лет назад
CLOUDSMEDIA
1,56 млн подписчиков
774 672 просмотра · 6 лет назад
"Kwenye mwili wangu sijui kama mimi ni mwanamke au mwanaume ila Mungu alichojisaidia kwamba nina sehemu ambayo naweza kujisaidia haja ndogo na kubwa lakini sehemu ya kuniweka kama mdada au msichana haipo sawa kama wanawake wengine sina ovari na upande wa mwanaume sina kiungo chochote na sijawahi kuona siku zangu, nina miaka 26" Baby John Musamba, aliyekuwa mgombea UWT