JINSI YA KUPIKA BIRIYANI KUTOKA MAURITIUS
Aroma Of Zanzibar & Beyond
0:00 / 0:00
JINSI YA KUPIKA BIRIYANI KUTOKA MAURITIUS
3 529 просмотров · 1 год назад
Aroma Of Zanzibar & Beyond
253 тыс. подписчиков
3 529 просмотров · 1 год назад
Chcakula cha watu 4-6
Mahitaji
Kuku alokatwa kilo 1 ( pound 2)
Chumvi kiasi chako
Pilipili ya unga kiasi 1/2 kjk cha chai au zaidi
Bizari ya manjano kiasi 1/4 kjk cha chai au zaidi
Mchale aina yoyoye ya basmati gram 500 ( 1/2 kilo ) vikombe 2 na nusu
Kijiti 1kikubwa au 2 vya kiasi cha mdalasini
Star anise 2
Hiliki nzima kiasi 5
Karafuu nizma kiasi 5
Majani ya bay 2 bay
Chumvi kiasi chako
Mbatata gram 500 ( 1/2 kilo)
Vitunguu maji gram 500 ( 1/2 kilo)
Vjk 2 vya kulia kitunguu thom ilosagwa
Vjk 2 kulia tangawizi mbichi ilosgwa
Vjk 2 vya kulia kitunguu maji kilo sagwa
Vjk 2-3 vya kulia biriani masala
Nyanya 3 za kiasi
mtindi mzito vjk 3 vya kulia
Pilipili za kijani 2-3
Kifunguu cha majani ya dhania
Kifungu cha majani ya nanaa
Vjk 2 vya samli
Maji ya moto 150ml ( 3/4 kikombe)
Zaafarani au rangi ya biriani
Maji ya mawardi ( kama utapenda) rose water
Aroma of Zanzibar social media
/ fathiya.ismail
/ aromaofzanzibar
Video intro Zanzibar Spice Market by Farhat Abbas https://www.youtube.com/results?searc...
Video Intro Mombasa spice market by Chef Farouk Amboka
https://www.instagram.com/faroukambok...
Music courtesy / contemplative-middle-east-oud-improvisation
This is English and Kiswahili channel where you will find cuisine from around the world