MB DOGG - Niligombaniwa na Watoto Wazuri | Nyimbo Hizi ni Stori za Kweli - Part 2
Bongo Project
0:00 / 0:00
MB DOGG - Niligombaniwa na Watoto Wazuri | Nyimbo Hizi ni Stori za Kweli - Part 2
6 789 просмотров · 3 г. назад
Bongo Project
9,65 тыс. подписчиков
6 789 просмотров · 3 г. назад
Tumeendelea na mazungumzo na MB Dogg katika sehemu ya hii pili. MB Dogg anaelezea mchango wa Abdu Bonge kwenye maisha yake...na jinsi alivyotoka na album yake ya kwanza Si uliniambia ambayo ilikuwa na vibao kama Latifa, Mapenzi kitu gani. Ametuimbia nyimbo zote hizo kali na kutupa simulizi murua! Usikose
#mbdogg #bongoproject #bongofleva #latifa #siuliniambia
Bongo Project ni "project" mpya Tanzania inayojihusisha na kazi za sanaa na yenye lengo la kuhifadhi taarifa, historia na takwimu muhimu za sanaa ya Tanzania pamoja na wasanii wake.
--------------------
WEBSITE
--------------------
https://bongoproject.org/
--------------------
SOCIAL MEDIA
--------------------
Instagram: / bongo_project
Facebook: / bongo-project-102566415873260
TikTok: / bongoproject
--------------------
CONTACT
--------------------
Email: info@bongoproject.org