Перейти к содержимому

Hati za Mashaka AMCOS: Mrajisi Ruvuma aja na Suluhu

Toka zamani Tv

0:00 / 0:00

Hati za Mashaka AMCOS: Mrajisi Ruvuma aja na Suluhu

244 просмотра · 7 дн. назад
Toka zamani Tv
156 тыс. подписчиков
244 просмотра · 7 дн. назад
Hati za Mashaka AMCOS: Mrajisi Ruvuma aja na Suluhu Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Ruvuma, Venance Msafiri, amewataka viongozi wa vyama vya msingi (AMCOS) vinavyounda Chama Kikuu cha SONAMCU kuchangamkia fursa ya mafunzo ya uadilifu ili kuepuka kupata hati chafu wakati wa ukaguzi wa hesabu. Tazama ripoti hii kuelewa jinsi mpango wa "Linda Ushirika, Chagua Uadilifu" unavyokwenda kusaidia wakulima na kuleta mabadiliko kwenye vyama vya ushirika. Usisahau Ku-SUBSCRIBE, Ku-LIKE na Ku-SHARE ili kupata habari zaidi! #SONAMCU #Ruvuma #Ushirika #AMCOS #Kilimo #Habari zaUshirika #COASCO SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co...