Karibu na Wewe (official Video)
UINJILISTI FOREST CHOIR
0:00 / 0:00
Karibu na Wewe (official Video)
2 758 просмотров · 2 года назад
UINJILISTI FOREST CHOIR
720 подписчиков
2 758 просмотров · 2 года назад
Ni wimbo wa muda mrefu sana, ulio katika kitabu Cha Tumwabudu Mungu wetu No. 309
Leo natamani tuusikilize upya kwa mtazamo mwingine/mpya.
Unaposikiliza Tafakari neno "KARIBU" ulitafakari neno Hilo kiroho na si kimwili, Karibu inayozungumzwa hapa ni ya kiroho kwa maana ya Mahusiano au (connection) na Mungu wako Kiroho.
Mungu haonekani kimwili kwa maana ya Mungu ni Roho, unaweza kuwa karibu na Mtu kimwili lakini usifuate mambo yake,lakini kwa Mungu tunahitaji kujiungananisha/kuhusiana nae kiroho ndipo anakua hapo ulipo na kufuata kile anachotuagiza ndipo tunakua salama.
Karibu tuusikilize,tafadhali sikiliza kwa mtazamo wa Kiroho maneno haya "Karibu na Wewe" utauelewa zaidi.