Перейти к содержимому

Bwana Nipe Nafasi Nyingine - Kwaya ya Uinjilisti Forest (Ibada ya birthday 2025)

UINJILISTI FOREST CHOIR

0:00 / 0:00

Bwana Nipe Nafasi Nyingine - Kwaya ya Uinjilisti Forest (Ibada ya birthday 2025)

8 864 просмотра · 1 год назад
UINJILISTI FOREST CHOIR
720 подписчиков
8 864 просмотра · 1 год назад
Bwana Nipe nafasi Nyingine - Kwaya ya Uinjilisti Forest (katika ibada ya kumbukizi ya kuzaliwa 2025) Karibu utazame moja ya wimbo ulio imbwa kwenye ibada ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa kwaya ya uinjilisti 2025, Ibada ilifanyika usharika wa Forest na wimbo huu "BWANA NIPE NAFASI NYINGINE" ni moja ya wimbo tulioimba siku hiyo. Pamoja na kwamba wimbo huu bado haujarekodiwa rasmi (official Records), lakini kupitia video hii na sauti hizi utapata ujumbe wa kukusogeza hatua moja katika safari ya kwenda Mbinguni. Tafadhali usisahau ku SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT Ili kuendelea kusambaza Injili kwa njia ya Uimbaji. Jiandae kuja kushiriki/kushuhudia Live recording ya wimbo huu pindi itakapo tangazwa. Endelea 🔗 Kufuatana na Kwaya ya Uinjilisti Forest kwenye Mitandao ya Kijamii: 📌 Facebook:   / uinjilistiforest   📌 Instagram:   / uinjilistiforest