WAHESHIMIWA MADIWANI WATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA KATIKA MAONESHO YA NANENANE
KILOSA DC
0:00 / 0:00
WAHESHIMIWA MADIWANI WATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KILOSA KATIKA MAONESHO YA NANENANE
110 просмотров · 3 недели назад
KILOSA DC
306 подписчиков
110 просмотров · 3 недели назад
Waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa wametembelea katika vipando na banda la Halmashauri katika Maonesho ya Nanenane Kanda ya Mashariki yanayoendelea Mjini Morogoro kwa lengo la kujionea Teknolojia mbalimbali za kilimo, Mifugo na Uvuvi zinazooneshwa katika maonesho hayo.