NOURISH wametoa Elimu kwa Wakulima ya kuzingatia kanuni za Kilimo bora na Lishe katika Vijiji
Kondoa_dc
0:00 / 0:00
NOURISH wametoa Elimu kwa Wakulima ya kuzingatia kanuni za Kilimo bora na Lishe katika Vijiji
6 просмотров · 3 дн. назад
Kondoa_dc
29 подписчиков
6 просмотров · 3 дн. назад
Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kwa kushirikiana na Shirika la SNV kupitia Mradi wa NOURISH wametoa Elimu kwa Wakulima ya kuzingatia kanuni za Kilimo bora na Lishe katika Vijiji mbalimbali ndani ya Halmashauri, ambapo Elimu hiyo imelenga kuhakikisha Usalama wa Chakula, Kuzingatia Lishe bora pamoja na kufanya Kilimo himilivu kinachoendana na mabadiliko ya tabianchi kuelekea msimu mpya wa Kilimo wa 2026/2027.
Wakulima wameeza kunufaika na Elimu hiyo na wameeleza kuwa watakwenda kuchukua hatua ya kuzingatia yale yote waliofundishwa kuhusu kanuni za kufanya Kilimo bora na uzingatiaji wa lishe ili waweze kunufaika kupitia Elimu hiyo