Nafsi Yangu Yakutamani Piano Tutorial | Jinsi ya Kupiga (Easy for Beginners)
Eagle's Rec Academy
0:00 / 0:00
Nafsi Yangu Yakutamani Piano Tutorial | Jinsi ya Kupiga (Easy for Beginners)
4 319 просмотров · 5 месяцев назад
Eagle's Rec Academy
23 тыс. подписчиков
4 319 просмотров · 5 месяцев назад
Karibu kwenye somo hili la piano ambapo utajifunza jinsi ya kupiga wimbo Nafsi Yangu Yakutamani kwa njia rahisi na ya hatua kwa hatua (step by step). Kama wewe ni beginner au tayari una ujuzi kidogo, tutorial hii itakusaidia kuelewa chords, melody na mpangilio mzima wa wimbo huu kwa urahisi.
Katika video hii utajifunza:
🎹 Chords zinazotumika kwenye wimbo
🎹 Jinsi ya kuunganisha mkono wa kushoto na kulia
🎹 Namna ya kupiga kwa mtindo mzuri (feel ya worship)
🎹 Mbinu rahisi za kuboresha upigaji wako wa piano
Hakikisha umeangalia video hadi mwisho ili usikose hatua muhimu zitakazokusaidia kupiga wimbo huu kwa ufasaha zaidi.
👍 Kama umejifunza kitu, usisahau Like, Comment, na Subscribe ili kupata masomo mengine mengi ya piano na muziki kwa ujumla.
This channel is dedicated to helping you grow as musician. Here you'll find:
. Improve your singing skills (Vocal techniques, breathing, control,
. Practice effective vocal exercises to strengthen your voice
. Play instruments such as piano, keyboard, guitar, drums and more
. Practical exercises to improve your skills
. Inspiratio and guidance for beginners and advanced musicians
Whether you are singer, instrumentalist, this is place to learn, practice and sharpen your craft. Join our community and let's make great music together
Don't forget to subscribe, hit the bell and stay tuned for new lessons in three days per week
Social links:
Instagram
Facebook