Перейти к содержимому

MWANA-FA ALIVYOWAIMBIA MABINTI WA ZANZIBAR.....

Global TV Online

0:00 / 0:00

MWANA-FA ALIVYOWAIMBIA MABINTI WA ZANZIBAR.....

1 379 просмотров · 5 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
1 379 просмотров · 5 ч назад
MWANA-FA ALIVYOWAIMBIA MABINTI WA ZANZIBAR..... Tazama jinsi msanii mkongwe wa Hip Hop Bongo, Mwana FA, alivyopanda jukwaani na kuwasha moto visiwani Zanzibar akiwaimbia mabinti wa Zanzibar ngoma zake kali zikiwemo za kuwasifia wanawake. Shangwe, vifijo na vigelegele vilitawala ukumbini huku mashabiki wakiimba naye mwanzo mwisho! Tazama video hii mwanzo mwisho kujionea burudani hii ya kipekee. ============================================================ ⚫️ JE, UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968) ⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com