Перейти к содержимому

HESHIMA YA HALI YA JUU YESU WASTAHILI - KEY F#

MWAMPASHI JR The Musician

0:00 / 0:00

HESHIMA YA HALI YA JUU YESU WASTAHILI - KEY F#

209 просмотров · 3 мес. назад
MWAMPASHI JR The Musician
2,46 тыс. подписчиков
209 просмотров · 3 мес. назад
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kupiga wimbo wa kuabudu "Heshima ya Hali ya Juu Baba Wastahili" katika Key F# Major kwa njia rahisi na inayoeleweka kwa wanaoanza na wanaoendelea kujifunza piano. Katika video hii utajifunza: ✅ Chords zinazotumika kwenye wimbo ✅ Muunganiko wa mkono wa kulia na wa kushoto ✅ Namna ya kubadilisha chords kwa urahisi ✅ Uchezaji wa worship progression katika Key F# ✅ Mbinu za kupamba uimbaji wa ibada kwa piano Kama unapenda mafunzo ya piano za nyimbo za injili, usisahau: 👍 Like 💬 Comment 📤 Share 🔔 Subscribe kwa mafunzo zaidi ya piano na bass guitar. Mungu akubariki sana kwa kutazama na kuendelea kujifunza muziki wa kumtukuza Mungu. #HeshimaYaHaliYaJuu #BabaWastahili #KeyFSharp #PianoTutorial #BeginnersPiano #GospelPiano #WorshipPiano #PianoLessons #KeyboardTutorial #MwampashiJrTheMusician #ChurchKeyboard #PraiseAndWorship #TanzaniaGospel #LearnPiano #PianoForBeginners