Перейти к содержимому

RC Kheri James Atoa Hotuba ya Kusisimua Akitoa Tuzo na Vyeti kwa Mashirika (NGO's) Iringa

Focus TV Tanzania

0:00 / 0:00

RC Kheri James Atoa Hotuba ya Kusisimua Akitoa Tuzo na Vyeti kwa Mashirika (NGO's) Iringa

144 просмотра · 5 ч назад
Focus TV Tanzania
80,4 тыс. подписчиков
144 просмотра · 5 ч назад
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Kheri James, ametoa hotuba maalum iliyogusa mioyo ya Viongozi wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO's) mkoani Iringa. RC Kheri James ametoa hotuba hiyo ya kusisimua wakati akizungumza kwenye hafla ya utoaji tuzo na vyeti vya utambuzi wa mchango wa mashirika yasiyo ya kiserikali ambayo ni wanachama wa Baraza la Taifa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NACONGO). Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma. ................. Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania #FocusTVTanzania