Перейти к содержимому

RC Kheri James atembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi Iringa

Focus TV Tanzania

0:00 / 0:00

RC Kheri James atembelea Kiwanda cha Karatasi Mufindi Iringa

2 151 просмотр · 10 дн. назад
Focus TV Tanzania
80,4 тыс. подписчиков
2 151 просмотр · 10 дн. назад
Mkuu wa mkoa wa Iringa, Kheri James, katika ziara yake maalum ametembelea 'Mufindi Paper Mills Limited', kiwanda kikubwa cha kuzalisha karatasi na paperboard nchini Tanzania kilichopo katika Bonde la Mgololo, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Focus TV ni chombo cha habari cha mtandaoni kinachorusha Maudhui yanayohusu Habari, Mitindo ya Maisha, Utamaduni, Michezo na Burudani kwa kuyaongezea thamani kwa maslahi ya umma. ................. Focus TV is one of the Best Online TV Conveying Content and adding values for the public interest. Focus TV is here to provide you with contents covering News, Education, Lifestyles, Culture, Sports and Entertainments. Focus TV imesalijiliwa Nchini Tanzania na kupewa Leseni ya kurusha maudhui mitandaoni kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA). Asante kwa kuchagua kutufuatilia | Thanks for Subscribing We Love You | Tunakupenda Regards Team Focus TV Tanzania #FocusTVTanzania