NAOMBA SALAMU HIZI ZIFIKE KWA RAIS SAMIA
KUSINI NEWS
0:00 / 0:00
NAOMBA SALAMU HIZI ZIFIKE KWA RAIS SAMIA
688 просмотров · 4 года назад
KUSINI NEWS
27,7 тыс. подписчиков
688 просмотров · 4 года назад
Mwanafunzi wa kidato cha Tano katika sekondari ya Mpitimbi Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha zilizowezesha kukamilika kwa madarasa katika shule za msingi na sekondari.Alikuwa an azungumza kwenye ziara ya Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Ruvuma ambayo inatembelea miradi ya madarasa ya UVIKO mkoani Ruvuma