TAZAMA Rais JPM Alivyopita na Beseni kukusanya SADAKA
Global TV Online
0:00 / 0:00
TAZAMA Rais JPM Alivyopita na Beseni kukusanya SADAKA
44 646 просмотров · 7 л. назад
Global TV Online
5,98 млн подписчиков
44 646 просмотров · 7 л. назад
TAZAMA Rais JPM Alivyopita na Beseni kukusanya SADAKA
Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe magufuli, leo Aprili 28,2019 ajishusha na kuwa muumini wa kawaida na kuamua kukusanya sadaka katika misa takatifu iliyofanyika katika viwanja vya Sokoine jimbo Katoliki la Mbeya.
Rais Magufuli ameonyesha mfano kwa viongozi wengine kuwa, ukiwa kiongozi ni lazima uonyeshe mfano katika jamii kwa kufanya kazi za kijamii pamoja nao kama yeye alivyokuwa mkusanyaji sadaka katika misa takatifu iliyohudhuriwa na Askofu Mkuu Kadinari Pengo.
#JPMAKUSANYASADAKA
/www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDyho