Перейти к содержимому

LIVE: SIKU YA 4 IBADA JUMAPILI YA PASAKA 13 NATIONAL EASTER CONFERENCE #1Petro2:9 #UZAO_MTEULE_2026

CCT USCF DODOMA и ещё 5

0:00 / 0:00

LIVE: SIKU YA 4 IBADA JUMAPILI YA PASAKA 13 NATIONAL EASTER CONFERENCE #1Petro2:9 #UZAO_MTEULE_2026

690 просмотров · Трансляция закончилась 6 мес. назад
CCT USCF DODOMA и ещё 5
690 просмотров · Трансляция закончилась 6 мес. назад
National Easter Conference: Uzao Mteule (A Chosen Generation) National Easter Conference ni mkusanyiko wa vijana na wanafunzi (USCF) kutoka pembe zote za nchi, wakikutana kwa kusudi moja: 1. Kutambua na kudhihirisha utambulisho wetu ndani ya Kristo. Katika msimu huu wa Pasaka, hatukumbuki tu kifo na ufufuo wa Yesu, bali tunasherehekea pia matokeo ya ushindi huo, kutolewa gizani na kuingizwa katika nuru Yake ya ajabu. Sisi si wa kawaida; sisi ni milki ya Mungu, makuhani wa kifalme, na taifa takatifu lililoteuliwa kutangaza sifa za Yeye aliyetuita Yesu Kristo. 📖 #Mstari_wa_Mwongozo: "Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wa milki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu." ( #1Petro2:9) ©2026CCTUSCFDODOMA ‪@BSTPO2RM‬ ‪@cctuscftaifa‬‪@uscfsocialsciencesUdom‬ ‪@cct_uscf_udom_chaplaincy‬ ‪@tuntufyemwakyembe‬ ‪@uscf_bugando_official‬ ‪@udsmcctmedia7708‬ ‪@christiancounciloftanzania4893‬ ​