Chid Benzi: Sijawahi kukubaliana na chama chochote cha siasa
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Chid Benzi: Sijawahi kukubaliana na chama chochote cha siasa
44 297 просмотров · 11 месяцев назад
BBC News Swahili
1 млн подписчиков
44 297 просмотров · 11 месяцев назад
Msanii wa Bongo Fleva Rashid Makwiro almaarufu Chid Benz anasema anaogopa kuchanganya sanaa yake na siasa kwasababu yeye kama msanii ni wa jamii yote, Chid anasema licha ya kutafutwa na vyama mbalimbali vya siasa lakini amekua akiikataa mialiko hiyo licha kuzitamani fedha nyingi zinazotolewa na wanasiasa na vyama vya sisasa.
@officialchidibenz amerejea kutoka nyumba ya nafuu ‘Sober House’ siku za hivi karibuni na ameonekana kuimarika kiafya na sasa anajidhatiti kurejea tena kwenye muziki kwa kishindo kama ilvyokua awali alipokua akitamba na vibao kama ngoma itambae na mashallaah.
Mwandishi wa BBC @eagansalla_gifted_sounds alizungumza naye.
#bbcswahili #tanzania #bongofleva
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili