Перейти к содержимому

HALI YA CORONA KIBOSHO UMBWE KATA YA OKAONI....

WanawakeLive Tv

0:00 / 0:00

HALI YA CORONA KIBOSHO UMBWE KATA YA OKAONI....

6 649 просмотров · 6 лет назад
WanawakeLive Tv
101 тыс. подписчиков
6 649 просмотров · 6 лет назад
Baadhi ya maeneo ya pembezoni wananchi wameonyesha kuwa na uelewa wa ugonjwa wa Covid19 unaoenezwa na Virusi vya Corona, huku Viongozi wa Dini wakitajwa kuwa chachu na wenye mchango mkubwa wa kutoa elimu hiyo ya kujikinga na Virusi hivyo maeneo hayo ya pembezoni... Karibu utazame video hii kutoka kijiji cha Dakau Sinde Kibosho Umbwe... Vipi maeneo uliyopo wewe hasa ya vijijini?? elimu imefika kwa kiasi gani?? . . Kumbuka kuchukua tahadhari ya kujikinga na maambukizi ya Corona, kama wataalamu wa afya wanavtotoa maelekezo.... JIKINGE,WAKINGE NA WENGINE #CORONAINAZUILIKA