Перейти к содержимому

Siri za Saba Saba Dar na Kiredio: Tumeshangazwa Kabisa

Imran Jape

0:00 / 0:00

Siri za Saba Saba Dar na Kiredio: Tumeshangazwa Kabisa

9 789 просмотров · 2 месяца назад
Imran Jape
4,41 тыс. подписчиков
9 789 просмотров · 2 месяца назад
Leo tumeamua kuingia viwanja vya Saba Saba kucheki hali ilivyo, kukupitisha kwenye njia, na kuona viwanja vimekaaje mwaka huu. Sababu kubwa ya kufanya hivi? Kesho tunarudi tena tukiwa na mission moja kubwa: Kumtafuta Kiredio alisema atakuwepo viwanjani akifanya streaming, sasa inabidi tujue njia za mkataba ili tusimkose kwenye hili . Kama unapanga kwenda Saba Saba mwaka huu, video hii itakupa picha kamili ya mazingiria yalivo.