Перейти к содержимому

Ndani Ya Bazaar Zanzibar: Siri Za Gharama, Bidhaa Na Vyakula Utavyokuta.

Imran Jape

0:00 / 0:00

Ndani Ya Bazaar Zanzibar: Siri Za Gharama, Bidhaa Na Vyakula Utavyokuta.

15 597 просмотров · 2 месяца назад
Imran Jape
4,42 тыс. подписчиков
15 597 просмотров · 2 месяца назад
Wengi wamekuwa wakiogopa kukanyaga hapa wakidhani ni soko la kishua sana na bei zake ni za anga za juu. Leo nimeamua kuingia ndani kabisa ya hili Bazaar la Zanzibar ili kukuletea ukweli wote: kuanzia bei za vyakula, nguo, manukato hadi mazingira yalivyo. Je, sikutegemea bei hizi? Ungana Na Mimi