Pastor Kamgisha // Ombea Familia yako dhidi ya Matukio mabaya ya Mwisho wa mwaka
HABARI NJEMA
0:00 / 0:00
Pastor Kamgisha // Ombea Familia yako dhidi ya Matukio mabaya ya Mwisho wa mwaka
7 просмотров · 8 ч назад
HABARI NJEMA
10,7 тыс. подписчиков
7 просмотров · 8 ч назад
OMBEA FAMILIA YAKO DHIDI YA MATUKIO MABAYA YA MWISHO WA MWAKA
“Bwana atakulinda na mabaya yote, Atakulinda nafsi yako.” — Zaburi 121:7
Usiumalize mwaka bila kuiombea familia yako! Mwombe Mungu akulinde na mabaya, akupe amani, afya, umoja na neema ya kuumaliza mwaka salama. Mungu awe mlinzi wa nyumba yako, mchana na usiku.
🙏 Ungana nasi katika maombi haya kwa imani, ukiamini kwamba Mungu ndiye kimbilio na nguvu zetu, msaada utakaoonekana tele wakati wa mateso.
❤️ Usiombe peke yako!
✅ Tazama na uombe pamoja nasi hadi mwisho.
✅ Shiriki video hii na familia yako na marafiki.
✅ Andika kwenye maoni: “MIMI NA FAMILIA YANGU TUTALINDWA NA BWANA!”
✅ Subscribe, Like na Share ili ujumbe huu uwafikie watu wengi zaidi.
MUNGU AILINDE FAMILIA YAKO, AILINDE NYUMBA YAKO, NA AKUPE NEEMA YA KUUMALIZA MWAKA KWA AMANI! 🙏🔥
#MaombiYaFamilia #UlinziWaMungu #MaombiYaMwishoWaMwaka #MaombiYaNguvu #FamiliaYangu #Zaburi121 #MaombiYaKikristo #HabariNjema #PrayerForFamily #GodsProtection