Перейти к содержимому

Kwa Nini Hujafanikiwa Kifedha Hata Kama Uko Busy Kila Siku? Your Money or Your Life EP:5

SAUTI YA KURASA

0:00 / 0:00

Kwa Nini Hujafanikiwa Kifedha Hata Kama Uko Busy Kila Siku? Your Money or Your Life EP:5

850 просмотров · 5 мес. назад
SAUTI YA KURASA
5,66 тыс. подписчиков
850 просмотров · 5 мес. назад
Katika video hii ya Sauti ya Kurasa, tunachambua kitabu maarufu Your Money or Your Life cha Vicki Robin na Joe Domínguez, ambacho kinabadilisha kabisa namna unavyoona pesa. ‎Utagundua ukweli mchungu kwamba: 👉 Pesa si karatasi tu—ni maisha yako 👉 Kila unafanya kazi, unauza sehemu ya muda wako 👉 Kila unaponunua kitu, unabadilisha maisha yako kwa kitu hicho 👉 Kuwa busy si sawa na kuwa tajiri au kufanikiwa ‎Tunazungumzia concept ya Life Energy, ambayo inakufundisha kuona thamani ya muda wako na kufanya maamuzi ya kifedha kwa akili badala ya hisia. ‎💡 Ukielewa somo hili, utaanza: ‎Kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ‎Kufanya maamuzi ya kifedha kwa makusudi ‎Kuelewa thamani halisi ya muda wako ‎Kujenga safari ya uhuru wa kifedha ‎⚠️ Hii sio video ya kawaida ya pesa—ni mabadiliko ya mtazamo wa maisha. ‎👉 Kama video hii imekufungua macho, andika comment: “Muda wangu una thamani” ‎🔔 Subscribe kwa zaidi ya Akili ya Utajiri & Financial Mindset ‎#Pesa #Utajiri #FinancialFreedom #MoneyMindset #LifeEnergy #YourMoneyOrYourLife #SautiYaKurasa ‎ ‎