Перейти к содержимому

LAZIMA MTUMIE KWA MANUFAA YA TAIFA

Daily News Digital

0:00 / 0:00

LAZIMA MTUMIE KWA MANUFAA YA TAIFA

47 просмотров · 1 г. назад
Daily News Digital
286 тыс. подписчиков
47 просмотров · 1 г. назад
MWANZA: MAMLAKA ya ununuzi wa umma(PPRA) imewakutanisha watendaji mbalimbali zaidi ya 250 wa taasisi za umma Jijini Mwanza kutoka Tanzania Bara kwa lengo la kuwajengea uwezo na ufahamu wa matumizi ya mfumo wa NeST namna ya watakavyoomba zabuni zao katika mfumo na kusaini mikataba . Akizungumza katika ufunguzi wa warsha hiyo Gilbert Kamde ambaye ni meneja wa kujenga uwezo na huduma za ushauri kutoka PPRA amesema kuwa mfumo huo wa NeST umekuwa na manufaa makubwa ikiwa ni pamoja na kuokoa muda. Naye kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Mha.Chagu Ng'homa akifungua warsha hiyo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amewataka wadau wa ununuzi Nchini kutumia mfumo wa kielektroniki ipasavyo ili kusaidia kupata wazabuni wenye gharama zinazolingana na na thamani ya fedha zinazolipwa Follow us on: FACEBOOK; SpotiLeo:   / spotileo-176.  . HabariLeo:   / habarileo   DailyNews:   / dailynewstz   INSTAGRAM; HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig... SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid... TWITTER; Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09