MAGU YAZINDUA RASMI WIKI YA MAGONJWA YASIOMBUKIZA
Daily News Digital
0:00 / 0:00
MAGU YAZINDUA RASMI WIKI YA MAGONJWA YASIOMBUKIZA
166 просмотров · 2 г. назад
Daily News Digital
286 тыс. подписчиков
166 просмотров · 2 г. назад
Wananchi wa Wilaya ya Magu wameshauriwa kuishi mtindo bora wa maisha unaozingatia ulaji unaofaa na kuepuka kula vyakula vyenye mafuta mengi , kuepuka matumizi ya pombe, uvutaji wa sigara , kuepuka msongo wa mawazo na kufanya mazoezi ya mwili ili kuepuka magonjwa yasioambukiza ambayo yameripotiwa kuchangia asilimia 74 ya vifo duniani kwa mujibu wa ripoti ya shirika la afya duniani ( WHO) mwaka 2022.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09