Перейти к содержимому

NEW SERIES : Majira Ya Kujiliwa

Binti Sayuni 50

0:00 / 0:00

NEW SERIES : Majira Ya Kujiliwa

126 просмотров · 1 месяц назад
Binti Sayuni 50
539 подписчиков
126 просмотров · 1 месяц назад
🌿 "MAJIRA YA MAJILIO – SERIES MPYA" 🌿 Karibu katika series mpya ya *Majira ya Majilio* — majira ambayo Mungu anakujilia kwa kusudi maalum katika maisha yako. Katika episode hii ya kwanza, tunaangalia: ✨ "Majira ya majilio ni nini?" ✨ *Je, inawezekana kupitwa na majira yako ya majilio?* ✨ Yesu alisema katika *Luka 19:44**: *“...kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako.” 🔥 *Fuatilia hadi mwisho ili ufahamu, ujitathmini na ujifunze jinsi ya kutambua majira Mungu anapokujilia.* 📖 Luka 1: 68 Usisahau *Subscribe, Like, Share na Comment* ili wengine pia wafikiwe na ujumbe huu. *Binti Sayuni 50* Ubarikiwe sana ❤️🙏🏾