Maajabu ya Papai ya Malkia F1 Inazaa Ndani ya Miezi Miwili Tu.
Jifunze Kilimo Tz
0:00 / 0:00
Maajabu ya Papai ya Malkia F1 Inazaa Ndani ya Miezi Miwili Tu.
19 444 просмотра · 5 лет назад
Jifunze Kilimo Tz
2,3 тыс. подписчиков
19 444 просмотра · 5 лет назад
Kilimo cha papai kinafanyika maeneo mbalimbali ya Tanzania. Hata hivyo uchaguzi wa mbegu nzuri unaendelea kuwa ni changamoto kwa wakulima walio wengi.
Lakini pia utaaramu katika maandalizi ya mbegu, upandaji wa mbegu kwenye kitalu na hatimaye kupanda kwa utaaramu shambani imekuwa ni changamoto kwa wakulima.
Matumizi ya mbolea na madawa sahihi ni muhimu ili kuhakikisha mavuno yaliyo bora. Fuatilia video hii hadi mwisho ili kupata ujuzi mbali mbali. Kwa maswali na ushauri tuma ujumbe WhatsApp kwenda namba 0758447040. Tutakujibu na kutatua changamoto zote zinazokukabiri.
Tufatilie kupitia mitandao mingine ya kijamii:
Instagram: / katoto_inspirational_tz
Facebook: / sevelin.katoto