MTI WA AMANI: ENEO LA MAPATANO
Anna Peter
0:00 / 0:00
MTI WA AMANI: ENEO LA MAPATANO
171 просмотр · 5 мес. назад
Anna Peter
735 подписчиков
171 просмотр · 5 мес. назад
Tanzania Kijani
Mringaringani ni eneo linaloheshimiwa na jamii ya watu wa Meru mkoani Arusha. Kiongozi wa Kimila kutoka ukoo wa Maturo na Afisa Utalii amesimulia kuhusu mti wa Mringaringa ambao ni kwao unatumika kwaajili ya kusuluhisha migogoro
____________________________________
Cameraperson: Fabian Shirima
Drone: Fabian Shirima
Writer and Producer: Anna Peter