Перейти к содержимому

NYERERE MAKALA || Hii hapa historia ya Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere

Azam TV

0:00 / 0:00

NYERERE MAKALA || Hii hapa historia ya Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere

166 675 просмотров · 2 года назад
Azam TV
3,29 млн подписчиков
166 675 просмотров · 2 года назад
Tanzania inaadhimisha miaka 24 ya kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa, Mwl. Julius Nyerere aliyefariki tarehe 14 Oktoba 1999 jijini London, Uingereza alipokuwa akipatiwa matibabu. Sehemu ya historia ya Mwalimu Nyerere kwenye harakati za kuwania uhuru sambamba na uongozi wake kwa Tanzania.