Перейти к содержимому

#ONK-106; Jifunze Saikolojia Ya Pesa, Upate Utajiri Na Furaha.

Kocha Dr. Makirita Amani, MD. CFE.

0:00 / 0:00

#ONK-106; Jifunze Saikolojia Ya Pesa, Upate Utajiri Na Furaha.

2 140 просмотров · 2 г. назад
Kocha Dr. Makirita Amani, MD. CFE.
6,7 тыс. подписчиков
2 140 просмотров · 2 г. назад
Inapokuja kwenye fedha, watu wamekuwa wanakazana kutumia akili kubwa, lakini bado wanashindwa. Hiyo ni kwa sababu kwenye fedha, tabia zina nguvu kuliko akili. Wapo watu wenye akili nyingi na elimu kubwa, lakini kwenye fedha wanaishia kubaki kwenye umasikini. Na wapo watu ambao hawana akili nyingi wala elimu kubwa, lakini wanajenga utajiri mkubwa. Mwandishi Morgan Housel, kwenye kitabu chake kinachoitwa THE PSYCHOLOGY OF MONEY, ameshirikisha masomo 20 kuhusu fedha, tamaa, utajiri na furaha. Masomo hayo yanatugusa moja kwa moja kwenye maeneo mbalimbali ya maisha yetu. Karibu ujifunze hayo kwenye kipindi hiki.