MAKAMU WA PILI WA RAIS AWASHAURI WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA MAONESHO YA CHAKULA CHAMANANGWE
CTV NEWS TANZANIA
0:00 / 0:00
MAKAMU WA PILI WA RAIS AWASHAURI WANANCHI KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA MAONESHO YA CHAKULA CHAMANANGWE
19 просмотров · 22 ч назад
CTV NEWS TANZANIA
133 подписчика
19 просмотров · 22 ч назад
Makamu wa pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla amesema serikali itaendelea kuimarisha sekta ya kilimo ili kupunguza uagizaji wa chakula kutoka nje ya nchi.
Makamu wa pili ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa maonesho ya chakula yaliyofanyika Chamanangwe Wilaya ya Wete Pemba.