SPIRO YAZINDUA PIKIPIKI YA UMEME KUCHOCHEA USAFIRI SALAMA & NAFUU TANZANIA
Nukta TV
0:00 / 0:00
SPIRO YAZINDUA PIKIPIKI YA UMEME KUCHOCHEA USAFIRI SALAMA & NAFUU TANZANIA
3 002 просмотра · 1 год назад
Nukta TV
25,6 тыс. подписчиков
3 002 просмотра · 1 год назад
Kampuni ya kutengeneza pikipiki za umeme ya Spiro, imezindua rasmi bidhaa hiyo nchini Tanzania, ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri salama kwa mazingira na gharama nafuu.
Upatikanaji wa bidhaa hiyo nchini huenda ukaleta ahueni ya panda shuka ya bei ya mafuta ambayo imekuwa ikiwaumiza wamiliki wa vyombo vya moto pamoja na madereva wa pikipiki maarufu kama bodaboda.