“OMBA RADHI! UNAPOKEA KUPELEKA WAPI?” - MAKONDA AMKABILI MTENDAJI
TMC NEWS TV
0:00 / 0:00
“OMBA RADHI! UNAPOKEA KUPELEKA WAPI?” - MAKONDA AMKABILI MTENDAJI
2 196 просмотров · 8 часов назад
TMC NEWS TV
42,4 тыс. подписчиков
2 196 просмотров · 8 часов назад
Paul Makonda amemkabili mtendaji wa sekta ya maji jijini Mwanza kuhusu taarifa zinazotolewa juu ya mtambo wa kuchimba visima na kuchelewa kwa utekelezaji wa majukumu.
Katika kikao hicho, mtumishi aliposema anapokea ushauri, Makonda alimkatiza kwa kusisitiza, “Maelekezo!” na baadaye kumtaka aombe radhi huku akimuuliza: “Unapokea kupeleka wapi?”
Makonda pia alihoji mkanganyiko wa taarifa kuhusu muda ambao mtambo umekuwa nje ya matumizi, akitaka watendaji wawajibike na kutoa taarifa sahihi kwa viongozi na wananchi.
Tazama mazungumzo hayo na namna Makonda alivyowabana watendaji wa maji jijini Mwanza.
NEWS | Shaping The Future
Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani.
🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu.
📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni:
📧 tmcnewsmedia@gmail.com
📞 +255 674 075 414
🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia
#TMCNews #PaulMakonda #Mwanza #Waziri #Maji #WatendajiWaSerikali #Uwajibikaji #Maelekezo #OmbaRadhi #HudumaZaMaji #TatizoLaMaji #SektaYaMaji #Serikali #Wananchi #HabariZaTanzania #TanzaniaNews #BreakingNews #Habari #SiasaTanzania #WaterSupply #ShapingTheFutureTMC
#TMCNews #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews